Maombi ya kazi ya udereva

Maombi ya kazi ya udereva

James Kimaka

Member
Joined
Feb 27, 2022
Posts
6
Reaction score
8
Habari za muda huu ndugu zangu,

Kwa majina naitwa James Aloyce Kimaka nina umri wa miaka 24, ninaishi Dar-es-Salaam. Ninatafuta nafasi ya kazi ya udereva kwenye shirika kampuni au mtu binafsi.

Nina leseni yenye madaraja A, A2, D, C1, C2, C3, E. Nina uzoefu wa kutosha katika fani hii na pia nina cheti cha basic driving coursekutoka VETA.

Ninapatikana kwa namba 0743830515
 
Nilichonotice madereva wengi hawajui izi kazi znazotangazwa uko ajira portal

Sio hawajui wengine wanajua sana na sifa wanazo ila ngoma inakuja kuwa ngumu kwenye cheti cha kidato cha nne ambacho weng hawana…..

Unakuta dereva kama huyu anaetafuta kazi kasoma veta na leseni anayo tena kubwa pia ni mzoefu wa kazi husika ILA unakuta hana cheti cha F4 na ndo kigezo cha hizi ajira za siku hizi sana sana za utumishi huko ajira portal
 
Back
Top Bottom