Maombi ya kazi

Maombi ya kazi

majanga mbishi

New Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
1
Reaction score
0
HABARI ZA ASUBUHI
mnaweza kunisaidia kupata kazi katika sehemu inayoendana na masomo yangu niliyosoma ya mass com, public relation, marketing,story na kutangaza namaliza mwezi wa tano naombeni mnisaidie katika hili.
 
HABARI ZA ASUBUHI
mnaweza kunisaidia kupata kazi katika sehemu inayoendana na masomo yangu niliyosoma ya mass com, public relation, marketing,story na kutangaza namaliza mwezi wa tano naombeni mnisaidie katika hili.

subiri watakuja hapa
 
unaowaomba wakusaidie hawana kaz pia, uwe mvumilivu kijana soko la ajira limechafuka sana na unaozania watakusaidia utawatambua wakat ukifika
 
Du bora ujiandae kuwa na uvumilivu wa kutosha kabisa ndugu yangu
 
wewe ni msomi,usitarajie kuajiriwa pekee,elimu yako inatosha,kabla hujamaliza nakushauri uanze kufanya research ya kujiajiri mwenyewe kwa fani yako,u r in a very gud position kutoka,ajira hakuna.
 
HABARI ZA ASUBUHI mnaweza kunisaidia kupata kazi katika sehemu inayoendana na masomo yangu niliyosoma ya mass com, public relation, marketing,story na kutangaza namaliza mwezi wa tano naombeni mnisaidie katika hili.
Maliza shule kwanza, usije ukakamatwa kwa kuwaza kutafuta kazi. Ila ushauri wa bure, ukitaka chukua, hutaki unaachana nao. Wakati unamalizia masomo yako jiandae kuanzisha ofisi yako (hii itakusaidia kujipanga namna gani utakifanyia kazi hiki ninachokwambia). kwa mfano, unaweza kuanzisha ofisi ya ku design matangazo mbalimbali ya biashara (yenye mvuto) ambayo utakuwa umeyalenga makampuni fulani au kundi fulani la wafanyabiashara, kisha unawatafuta (mmoja baada ya mwingine). Ukiwapata unawafanyia presentation ya kile unachokusudia kuwafanyia (kuwaandalia matangazo na kuwauzia). Wakivutiwa nacho unaingia nao mkataba wa kuwauzia matangazo hayo (of course utabidi kuya customize kuendana na biashara husika) ambayo mkikubaliana wewe utakuwa unawapelekea kwenye vyombo husika vya kutangazia. You get your daily bread. Ajira ni ngumu kijana!!!!! Kuna masters kibao ziko huku mtaani zinadoda, kubeba zege hawawezi maana status iko juu, kazi nyingine hawapati. Heri yao waliobaki ughaibuni kubeba box maana hakuna jamaa zao wanaojua kuwa wanabeba box huko. Think twice
 
maliza shule kwanza ukimaliza uje huku uraiani maana hata unaotuomba kazi tunazitafuta nazo zinakimbia sijui ziko mbali
 
HABARI ZA ASUBUHI
mnaweza kunisaidia kupata kazi katika sehemu inayoendana na masomo yangu niliyosoma ya mass com, public relation, marketing,story na kutangaza namaliza mwezi wa tano naombeni mnisaidie katika hili.

Tembelea mitandao ya kazi kama, Kazitanzania.com,Brightermonday,Labourrecruitment etc
 
jamani nisaidieni kutafuta kazi nimemaliza kidato cha nne any job nitafanya plz
 
Back
Top Bottom