Maombi ya Kufunguliwa

DEMOCRASIA KWA MWANADAMUMU IMELETWA NA MUNGU MWENYEWE
KAMUUMBA SHETANI KWA AJILI AWE KIONGOZI WA WATU WAOVU.
WAUMINI ,KIONGOZI WAO NI MUNGU.
B
inadamu kawekwa kati akiongozwa na akili na matamanio
Akili humjua Mungu
Matamanio Humjuwa shetani
Anasa za dunia zinaanbatana na Shetani
Kukinai na kujitenga na anasa na starehe zake Kushikana na Mungu.
Jahannam imezungukwa na vitu vya mapambo na anasa
Peponi (paradise) imezingirwa na shida ,kujinyima,na machungu kadhaa ikiwemo Subira.
 
Nguvu za kichawi ,ushirikina falme na mamlaka za kuzimu zikuachilia kuanzia sasa . Uwe hai katika Jina la Yesu .

The magical powers, the superstitions of the kingdoms and the powers of hell set you free from now on. Be alive in Jesus' Name.
Zawadi Ngailo haya mambo sio mepesi na rahisi kiasi hicho... Ni Kristo pekee ndio alikuwa na hiyo nguvu ya kuamuru na ikawa

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…