Maombi ya kujiunga na chuo CBE

Maombi ya kujiunga na chuo CBE

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Wakati nafanya application steps zote nimeletewa mpaka ku submit, lakini hatua ya malipo sijaletewa.

Sijaelewa kama ndio ipo hivyo kwa wote au ni mimi tu. Maombi yameenda bila malipo.
 
Kuna vyuo vyengine ni bure ku apply [emoji3] mwaka 2018 MUCCoBS ilikuwa bure pia sijui sahivi

Ila swali la uzushi hujaona udism udom Sua ?
 
Website yao inatakiwa iwe wazi kama ni bure au kuna malipo. Vinginevyo wapigie simu.
 
Kuna vyuo vyengine ni bure ku apply [emoji3] mwaka 2018 MUCCoBS ilikuwa bure pia sijui sahivi

Ila swali la uzushi hujaona udism udom Sua ?
Tatizo kwenye mfumo wao ipo sehemu ya payment na njia za kufanya na malipo. Ni dg mwenyewe kachagua hapo nikaona hamna namna
 
Nimeomba chuo kimoja mpango nimefika hatua ya mwisho na kuambiwa nimedanikiwa kutuma maombi.
Sijaona mahali pa malipo, nadhani ni njia ya kuvutia wateja. Hii nzuri
 
Simu nimepiga hazipatikani mkuu
Nimechungulia website yao ina maelezo ya fee ya 10000 na unatakiwa upate namba kutoka kwao ndio ulipie kwa mtandao au bank. Hebu ingia tena taarifa hii unaisoma kabla ya kulog in. Jaribu.
 
Nimechungulia website yao ina maelezo ya fee ya 10000 na unatakiwa upate namba kutoka kwao ndio ulipie kwa mtandao au bank. Hebu ingia tena taarifa hii unaisoma kabla ya kulog in. Jaribu.
Asante mkuu nimeona. Kumbe malipo unafanya baada ya kutuma maombi
 
Sijawahi kuomba kusoma CBE ila nimetumiwa ujumbe nimechaguliwa ,maana yake nini mwenye ujuzi.
20220806_135201.jpg
 
Back
Top Bottom