Maombi ya kujiunga na mmu

Maombi ya kujiunga na mmu

Karibu sana MMU...hakuna masharti yoyote isipokuwa weka heshima mbele kama tai.
 
mi sikukaribishi........wait sijasoma jinsia kumbe "ke" karibu saaaana.....teh teh kwi kwi kwi(najichekesha)
 
Karibu Mkuu brilly' Njoo usafishe roho na uponyeshe upekee (you will never regret) familiya ya pili ipo nawe.!!Good Luck...
 
Habari zenu wapendwa,, Napenda kujiunga nanyi kwa hii group,imenivutia sana ,, kama kuna mashart yeyote niambieni...

07658af.jpg
 
Back
Top Bottom