Ahsantee,hamna tatzo
Shukran mgeni ..pamoja. ubarikiwe
Ufunguliwe milango ya hazina kuu na Mgodi wa madini....! aminaNawe pia ubarikiwe!
Mm wa kike!!
Karibu mwaya ingawa na mimi mgeni pia
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Karibu sana pm.
kwani mmu ndio nini?
Una umri gani?
Umeshaolewa?
Halafu kwa nini umeacha ID yako ya zamani?
Sijaolewa ,nina umri wa miaka 20 ,, hyo hata siikumbuk
my dear private info zingine kaushaaa,sio must kusema
Una umri gani?
Umeshaolewa?
Halafu kwa nini umeacha ID yako ya zamani?
Karibu binti, ingawa nimechelewa kukukaribisha ila si vibaya nami nikitoa ukaribisho. Feel at home girl.