Maombi ya Kushiriki katika Utafiti

416006

Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Hello,

Napenda kuwaomba Watanzania wenzangu walionunua HISA KATIKA MAKAMPUNI ambayo hisa zake zinauzwa katika soko la hisa la Dar Es Salaam (DSE), mf. TBL, TWIGA, CRDB n.k. kushiriki katika utafiti wangu kwa kujaza DODOSO kwenye link iliyowekwa hapa chini:

https://www.surveymonkey.com/ s/58DLYW8

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa yeyote atakayeshiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…