Samahan wana JF, naombeni kusaidiwa, wanaoomba ualimu, kwa waliomaliza 2013, wanatakiwa kuwa na division 3, au four 33 na 34, maana nimeshindwa kuelewa vizuri. Naombeni msaada wenu.
mkuu nisaidie, tangazo linasema wenye 1,2 na 3 ndo wataingia direct na wenye 4 za 33 na 34 (wa mwaka jana) watatakiwa kupitia mafunzo kabilishi, sasa nimeshindwa kaolewa 4 za 31 na 32 wao wanaomba vipi?