manfred datius
New Member
- Jul 13, 2024
- 1
- 1
Kwa nn hukukamil8sha bossTunaomba bodi ya mikopo ituangalie kwa jicho la tatu ambao hatukufanikiwa kukamilisha kuwasilisha nyaraka zote za muhimu kwenye maombi ya mikopo
Hata kama muda wa maombi umeisha au watakao kosa kabisa basi mwezi wa kumi lifunguliwe dirisha jingine
Mimi nilisubmit kila kitu lakini juzi nimefungua mfumo wanasema sikukamikisha usajiliTunaomba bodi ya mikopo ituangalie kwa jicho la tatu ambao hatukufanikiwa kukamilisha kuwasilisha nyaraka zote za muhimu kwenye maombi ya mikopo
Hata kama muda wa maombi umeisha au watakao kosa kabisa basi mwezi wa kumi lifunguliwe dirisha jingine