Maombi ya msaada wa kusomeshwa

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
Naitwa mwita mnyoro mkazi wa kijiji cha kubiterere, bunchari, tarime, mara, naomba msaada wa kusomeshwa kidato cha tano 2013 roho inaniuma mzazi wangu jembe lina mzeesha mwenye moyo wa kunisaidia number yangu ni 0766626669
 
Mtoto wa mkulima unamiliki simu yenye internet?samahani lakni.
 
Uza simu kalipe ada wewe mtoto. Uko social networks halafu unasema maskini? Then unahadithia baba yako ana nguvu tu na ana uwezo wa kulijma? We mpuuzi kweli?
 
Uza simu kalipe ada wewe mtoto. Uko social networks halafu unasema maskini? Then unahadithia baba yako ana nguvu tu na ana uwezo wa kulijma? We mpuuzi kweli?

Upuuzi wake uko wapi?? Yeye ni wa kwanza kuomba msada humu? Kuwa social network ndiyo kuwa tajiri??
 
uza simu kalipe ada wewe mtoto. Uko social networks halafu unasema maskini? Then unahadithia baba yako ana nguvu tu na ana uwezo wa kulijma? We mpuuzi kweli?

kwan wote waliopo jf n matajiri.upuuz kweli kweli
 
Mtoto wa mkulima unamiliki simu yenye internet?samahani lakni.

unajua bei ya mwsho ya cm yeny intanet.?una uhakika ana milik cm?cmple mind discuss personality nt fact.nimeshakuelewaa
 
Acheni kuhukumu, yeye ameomba msaada, mpeni hata ushauri basi kuliko kumkashifu hivyoo? Dogo usikatishwe tamaa na hawa jamaa, nenda kwa mbunge wako na umwambie shida yako.
 
Ok, bac me nakushauri uitishe harambee then umualike mheshmiwa lowasa awe mgeni rasmi, naamini atakusaidia kuchangsha pesa.
 
Acheni kuhukumu, yeye
ameomba msaada, mpeni hata ushauri basi kuliko kumkashifu hivyoo? Dogo
usikatishwe tamaa na hawa jamaa, nenda kwa mbunge wako na umwambie shida
yako.

mbunge wake ni wa CCM.
 
unajua bei ya mwsho ya
cm yeny intanet.?una uhakika ana milik cm?cmple mind discuss personality
nt fact.nimeshakuelewaa

Unazijua gharama za kumiliki simu?

Uwepo wake ktk social networks haumaanishi utajiri wake,ila unatupa picha fulani ktk uhalisia wa maisha yake, ngoja nimtafute fb kwanza,kwani huyu siyo yule aliyesema anauza corola juzi?(fb)
 
Ok ni vema umegundua kuwa mzee jembe linamchokesha
 
We tafuta nauli tu, ka ni Shule ya serikali utasoma tu utalipa ukifuata cheti.
 
Mtoto wa mkulima unamiliki simu yenye internet?samahani lakni.

Simjibii mtoa hoja, im just saying, kwa mfano mimi, nlinunua simu yangu yenye internet ambayo ndiyo hii nayotumia hata kupostia nw kwa Tshs. 30,000/= tu ni Nokia 2730 classic, kwahiyo simu ya internet its nt a big deal nw adays, simu unaweza hata pewa bure.
 

Na hata kusoma unaweza kusoma bure.!

Mimi nilimaliza ndanda 2008,sikulipa mchango wowote kpnd chote cha masomo,ikanilazimu nisichukue living certfcate japo home walikasirika sana. Siku naenda kuchukua cheti huku nikiwa nimejipanga full, headmaster akaangalia data za mtu mwngne aliyelipa michango yote, akaniuliza jina langu, akanipa gamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…