Sifa za kujiunga na Stashahada(Diploma) ni matokeo ya kidato cha sita (Minimal) E moja na S moja ktk combination yako
Sifa za kujiunga na Cheti (Certificate-Grade A) ni matokeo ya kidato cha nne (Minimal) point 27.
Deadline ya application ni:28.06.2013
SIFA: uwe umemaliza kidato cha sita/nne kuanzia mwaka 2008 - 2013 tu
Application fee: BURE
HII NI FURSA KWENYE VYUO VYA UALIMU VYA SERIKALI TU
NB: Usijedanganyika kuomba vyuo vya private wakisema cutt-points zao ni chini ya hizo nilizokueleza, watakuwa wanataka kukuibia tu and then wakuache solemba unalia mtaani. Vyuo vyote vya Ualimu Vya Serikali na Private cutt-points zao zinafanana isipokuwa Private college wanachukua waombaji hata walio maliza kidato cha sita kuanzia mwaka 2003.