Ndugu Zangu Wana JF Kwa Jina Naitwa Philipo Ndunguru, Ninaomba Msaada Wa Ufadhili Wa Kujiendeleza Kielimu.Nimemaliza 4m Six 2013 Kwa Shida Na Nimechaguliwa Kujiunga Na Masomo Ktk Chuo Kikuu Cha Makumira Arusha,sina Ndugu Wa Kunisupport,nimepotelewa Na Wazazi Wangu Miaka 8 Iliyopita Nimesoma Kwa Miujiza Tu,kiufupi Hali Ni Ngumu Mpaka Ninawaza Kuprospond Mwaka.Naomba Nisaidiwe Kwa Kwel Hal Yangu Ni Ngumu.Kwa Yeyote Mwenye Mapenzi Mema Ya Kunichangia Tumia Email Hii Philipondunguru@gmail.Com Asante.