Maombi ya visa ya kwenda kwa mataifa ya Schengen lazima yapitie Nairobi sasa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii imechapishwa kwenye tovuti ya Norway, kwamba ubalozi wao hautashughulkia maombi ya visa, ila watatuma zije Kenya maana hapa Nairobi ndio makao makuu ya masuala yote ya uhamiaji ukanda wote huu.
Poleni Wabongo ila ndio imekua hivyo......Hawa mabeberu wanalala na nyie mbele kwa mbele..
--------------------

As of 1 August 2019, the Norwegian Embassy in Dar es Salaam will no longer be the responsible mission for applications for Schengen visitor’s visa or residence permit to Norway from applicants residing in Tanzania. Instead, applications submitted in Tanzania will be sent to the Norwegian Embassy in Nairobi, Kenya, which is a regional hub for immigration cases from East-Africa.
 
Kenya yaendelea kukataliwa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa bado wanaumia
Hii imechapishwa kwenye tovuti ya Norway, kwamba ubalozi wao hautashughulkia maombi ya visa, ila watatuma zije Kenya maana hapa Nairobi ndio makao makuu ya masuala yote ya uhamiaji ukanda wote huu.
Poleni Wabongo ila ndio imekua hivyo......Hawa mabeberu wanalala na nyie mbele kwa mbele..
--------------------

As of 1 August 2019, the Norwegian Embassy in Dar es Salaam will no longer be the responsible mission for applications for Schengen visitor’s visa or residence permit to Norway from applicants residing in Tanzania. Instead, applications submitted in Tanzania will be sent to the Norwegian Embassy in Nairobi, Kenya, which is a regional hub for immigration cases from East-Africa.
 
Upuuzi yaani ktk nchi kama hii iliyo na amani unawezaje kwenda kupeleka huduma za ki visa ktk nchi nyingine
 
Hii imechapishwa kwenye tovuti ya Norway, kwamba ubalozi wao hautashughulkia maombi ya visa, ila watatuma zije Kenya maana hapa Nairobi ndio makao makuu ya masuala yote ya uhamiaji ukanda wote huu.
Poleni Wabongo ila ndio imekua hivyo......Hawa mabeberu wanalala na nyie mbele kwa mbele..
--------------------

As of 1 August 2019, the Norwegian Embassy in Dar es Salaam will no longer be the responsible mission for applications for Schengen visitor’s visa or residence permit to Norway from applicants residing in Tanzania. Instead, applications submitted in Tanzania will be sent to the Norwegian Embassy in Nairobi, Kenya, which is a regional hub for immigration cases from East-Africa.

Unajua ulichoandika kina maana gani?

Again that is not uncommon phenomenon as there will be no Tanzanian will be crossing the border to Kenya to seek for residence permit or visa.
 
Wewe unajua kile unasema ama ni kuropokwa tu? Nairobi ndio makao ya pili kwa ukubwa wa Ubalozi wa European Union duniani kwahivyo kupeana visas toka hapo sio jambo geni. WaNigeria wengi sana hutuma visa applications za EU countries to Nairobi for processing.
 
Usidanganye watu. Schengen member countries ni nchi 26. Hivyo anayetaka kwenye nchi nyingine ya schengen ukioondoa Norway hakuna haja ya kuja Nairobi unless nchi hiyo hawana embassy dar.
 
Wewe unajua kile unasema ama ni kuropokwa tu? Nairobi ndio makao ya pili kwa ukubwa wa Ubalozi wa European Union duniani kwahivyo kupeana visas toka hapo sio jambo geni. WaNigeria wengi sana hutuma visa applications za EU countries to Nairobi for processing.

Wewe unaongea hata hizo residence permit au visa hujui zinafananaje. Kwa akili yako unafikiri watu toka sehemu zote za Afrika watakuwa wakijazana Nairobi kuomba Visa au kibali cha ukazi?
Mnashangilia ujinga tu. Hiyo wala haibadirishi chochote.
 
Unajua ulichoandika kina maana gani?

Again that is not uncommon phenomenon as there will be no Tanzanian will be crossing the border to Kenya to seek for residence permit or visa.
Usichukulie poa mkuu. Mfano ukitaka kwenda Australia inabidi uende Kenya kugonga visa
 
Wale hawako schengen. Pia hawana ubalozi huko Tanzania. Kukiwa na ubalozi, hamna haja ya kwenda Kenya.
 
Hii imechapishwa kwenye tovuti ya Norway, kwamba ubalozi wao hautashughulkia maombi ya visa, ila watatuma zije Kenya maana hapa Nairobi ndio makao makuu ya masuala yote ya uhamiaji ukanda wote huu.
Poleni Wabongo ila ndio imekua hivyo......Hawa mabeberu wanalala na nyie mbele kwa mbele..
--------------------

As of 1 August 2019, the Norwegian Embassy in Dar es Salaam will no longer be the responsible mission for applications for Schengen visitor’s visa or residence permit to Norway from applicants residing in Tanzania. Instead, applications submitted in Tanzania will be sent to the Norwegian Embassy in Nairobi, Kenya, which is a regional hub for immigration cases from East-Africa.
same to Australia Tanzanians have to travel to Nairobi
 
2.PNG
 
Back
Top Bottom