Maombi ya chuo kupitia TCU hufunguliwa kwa wote bila kujali kama ni fresher, form 6 aliyemaliza kitambo wala mhitimu wa diploma...
Kwa kawaida applications hufunguliwa mara baada ya matokeo ya form 6...
The Executive Secretary,
Tanzania Commission for Universities, P O Box 6562, Dar es Salaam
Tel: +255 22 2772657; Fax: +255 22 2772891;
Email: dad@tcu.go.tz or admission@tcu.go.tz
Mobile Numbers:+255 757 593868, +255 757 594087, +255 656 596822 and +255 682
544832 .Ukisha uliza tijuze sawa:nod::nod::nod: