C Chagulula Member Joined Feb 27, 2014 Posts 18 Reaction score 0 Mar 8, 2014 #1 Ndugu wana JF napenda kufahamu mwisho wa kutuma maombi ya uwalimu Grade 'A' kwa vyuo vya serikali mwaka 2014/2015. Mwenye info atujuze please!
Ndugu wana JF napenda kufahamu mwisho wa kutuma maombi ya uwalimu Grade 'A' kwa vyuo vya serikali mwaka 2014/2015. Mwenye info atujuze please!
G gashambala uwezo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 485 Reaction score 67 Mar 9, 2014 #2 kwa nini? usubiri mpaka dead line, wakati ndio huu ? elekeza maombi yako kwa katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo, ukiambatisha na matokeo yako,
kwa nini? usubiri mpaka dead line, wakati ndio huu ? elekeza maombi yako kwa katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo, ukiambatisha na matokeo yako,
Ibnu Nindi JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 388 Reaction score 71 Mar 9, 2014 #3 WIZARA HAIJATOA TANGAZO BADO KUHUSU MAOMBI YA MAFUNZO YA UALIMU::IKITOA TANGAZO LAZIMA ITOE NA DEADLINE:rolleyez:
WIZARA HAIJATOA TANGAZO BADO KUHUSU MAOMBI YA MAFUNZO YA UALIMU::IKITOA TANGAZO LAZIMA ITOE NA DEADLINE:rolleyez:
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Mar 10, 2014 #4 naomba kujuzwa, vyuo vya ualimu vya serikali wanalipiwa ada na serikali au wanajilipia? na vp kuhusu fedha za kujikimu.
naomba kujuzwa, vyuo vya ualimu vya serikali wanalipiwa ada na serikali au wanajilipia? na vp kuhusu fedha za kujikimu.
B bori hamisi Member Joined Mar 22, 2013 Posts 56 Reaction score 2 Mar 10, 2014 #5 tangazo badoooo kaka
K kapacity Member Joined Feb 23, 2014 Posts 11 Reaction score 0 Mar 10, 2014 #6 Gatce kuna kupewa hela ya kujkim!! Iyo kwakwel nam naomba nijuzwe.
E ERASTOSN New Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1 Reaction score 0 May 16, 2014 #7 Hello...tafadhari naomba kujua tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ya ualimu daraja 'A'