Maombi ya vyuo vya ualimu grade 'a' 2014

Chagulula

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
18
Reaction score
0
Ndugu wana JF napenda kufahamu mwisho wa kutuma maombi ya uwalimu Grade 'A' kwa vyuo vya serikali mwaka 2014/2015. Mwenye info atujuze please!
 
kwa nini? usubiri mpaka dead line, wakati ndio huu ?
elekeza maombi yako kwa katibu mkuu wizara ya elimu na mafunzo, ukiambatisha na matokeo yako,
 
WIZARA HAIJATOA TANGAZO BADO KUHUSU MAOMBI YA MAFUNZO YA UALIMU::IKITOA TANGAZO LAZIMA ITOE NA DEADLINE:rolleyez:
 
naomba kujuzwa, vyuo vya ualimu vya serikali wanalipiwa ada na serikali au wanajilipia? na vp kuhusu fedha za kujikimu.
 
Gatce kuna kupewa hela ya kujkim!! Iyo kwakwel nam naomba nijuzwe.
 
Hello...tafadhari naomba kujua tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ya ualimu daraja 'A'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…