M Mbwambo JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 625 Reaction score 94 Oct 10, 2012 #1 Ninakaribisha maombi kwa Bank mbali mbali wanaotaka kuweka ATM kwenye nyumba yangu ambayo inatazama Barabara iko sehemu ambazo hakuna ATM yeyote eneo hilo Naomba kwa wanaotaka kuona sehemu wanitumie email: ak_abduel@yahoo.com KARIBUNI
Ninakaribisha maombi kwa Bank mbali mbali wanaotaka kuweka ATM kwenye nyumba yangu ambayo inatazama Barabara iko sehemu ambazo hakuna ATM yeyote eneo hilo Naomba kwa wanaotaka kuona sehemu wanitumie email: ak_abduel@yahoo.com KARIBUNI
J John W. Mlacha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2007 Posts 3,504 Reaction score 1,342 Oct 10, 2012 #2 kwenya account una bei gani?
M Mbwambo JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 625 Reaction score 94 Oct 10, 2012 Thread starter #3 Black Bat said: kwenya account una bei gani? Click to expand... Hiyo siri yangu siwezi kuisema hapa