mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Napongeza kwa jitihada zinazofanyika ktk kuandaa maonyesho ya kimataifa ya biashara na kuazimishwa kila mwaka.
Kwa kuwa ni maonyesho makubwa ya kibiashara na yamekuwa yakihusisha makampuni na taasisi za kibiashara toka ktk mataifa mbalimbali nina dhani kuna haja ya kutathmini athari zake Chanya na hasi ktk maendeleo ya taifa leo-Biashara,Uwekezaji na Viwanda.
Ninashauri Taasisi zote zisizo za kibiashara ziache kushiriki ili kupisha wigo wa fulsa kimazingira kwa wafanyabiashara,Wawekezaji,Wajasiliamali na wenye viwanda..Kuna taasisi hazina mashiko ya kuwa washiriki hivyo kupoteza fedha za walipa kodi pasipo sababu..Tujitafakari kwa dhati kama nchi..Japo ni kweli wengi wa watumishi kwao ni fulsa kimapato kuwepo ktk maonyesho husika.
Kwa sasa mfumo na muundo wa miundombinu ya viwanja vya maonyesho hau reflect dhana ya kimataifa kwa mapana yanayotakiwa sababu ya kuwa na sura ya gulio, mnada, soko, maonyesho, hivyo kuwa kama vurugu.
Mtiririko na mpangilio mzuri kwa wafanya maonyesho,watafiti biashara,wafanyabiashara,n.k ni muhimu ili kupata tija stahiki.
Kwa msingi huu nadhani ni wakati wa kutengeneza masterplan yenye ku involve features za kisasa kabisa za viwanja vya maonyesho kimataifa kama Canton Fair, Berlin etc. Tusiridhike na viingilio vya milangoni. Maonyesho yawe bridge ya kujenga fulsa kubwa kwa maendeleo ya taifa.
Maonyesho ya biashara yanapaswa kuchokonoa na kusisimua fikra,ubunifu,Ustadi,hisia za watanzania kushirikia fulsa mtambuka za kibiashara pia kuchochea ubunifu stahiki kwa maendeleo.
Tuangalie kwa kina mapinduzi ya teknolojia kupitia bidhaa za wenzetu wanaosafiri maelfu ya kilomita kuja kwetu..Kisha tufanye tathini ya nini kinaonyeshwa na waonyeshaji wetu.
Bado tuna safari ndefu. Kupanga ni kuchagua