Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 24
- 55
Kwenye Maonesho Haya, Niliweza Kujifunza Na Kupata Mawazo Ya Kujenga, Pamoja Na Kukutana na Vijana Wenzangu Ambao Pia Ni Wabunifu Waliovumbua Vumbuzi Mbalimbali, Zikiwemo Apps Mbalimbali Za Kitenolijia, Kama Njia Wanazozitumia Kutoa Huduma Kwa Jamii.
Lakini Pia. Ilikuwa Ni Nafasi Ya Kueneza Umuhimu wa Teknolojia Katika Kukuza Uchumi Kwenye Dunia Yenye Ushindani wa Kiuchumi
Ulikuwa Wakati Mzuri… ✍️