Mlimani TV
Member
- Oct 13, 2014
- 12
- 12
Ofisi ya waziri mkuu tamisemi,wizara ya elimu na mafunzi ya ufundi,mamlaka ya biashara na huduma za nje tantrade pamoja na global eduction link wanatarajiwa kufanya maonesho makubwa ya kimataifa ya elimu ndani ya viwanja vya sabasaba kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu,ambapo watanzania wote watapa fusra ya kukutana na wadau wa elimu ikiwemo bodi ya mikopo,tcu shule za msingi na sekondari zaidi ya 500 zitakuwa pamoja lengo ni kuhakikisha kuwa sasa wazazi wanaweza kufika eneo moja na kupata huduma zote muhimu za shule na vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi,maonesho hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 10 hadi 14 desemba(mlimani tv itakuwa ikikuletea vipindi na taarifa lengo ikiwa kuunga kono elimu ya nchi yetu na kutoa taarifa sasa kwa watanzania,mlimanio tv elimu kwanza)