Maonesho ya saba (7) ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kuanza tarehe 3 - 9 Disemba

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
969
Reaction score
1,055
Wizara ya Viwanda, Biashara kupitia TanTrade kwa mara nyingine inaandaa Maonesho ya Saba (7) ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyopangwa kufanyika tarehe 3 - 9 Disemba, 2022 katika Uwanja wa Mwl. J. K. Nyerere Barabara ya Kilwa Dar es Salaam.

Maonesho haya yanalenga kujenga jukwaa ambalo Wadau wa Sekta ya Viwanda watapata fursa ya kujadiliana, kubadilishana uzoefu na kutangaza fursa zilizopo katika Sekta hiyo.

#NunuaChaKwetu
 
Shida ya haya maonyesho huwa yamejikita kuuza badala ya kutafuta wabia wa kufanya nao biashara
 
Ni Viwanda rasmi tu au hata Viwanda vyetu vya nyumbani/Mtaani?.

Pia kama kuna BANGO ni vizuri ungeliweka hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…