Maonesho ya saba saba tufanyie humu, weka bidhaa yako tuione

Maonesho ya saba saba tufanyie humu, weka bidhaa yako tuione

erickliloow

Member
Joined
Jun 16, 2021
Posts
16
Reaction score
31
Habari wakuu,

Maonesho ya Saba saba tuyafanyie humu jukwaani, weka bidhaa yako pamoja na bei watu tuione. Kwa kufanya hivyo utajiongezea wigo wa biashara kwa kupata wateja wengi zaidi.

Weka bidhaa pamoja na bei wateja wanunue.

Karibuni wakuu.
 
Uzi wangu hauna maneno mengi!
Ila kwa mliyoko dar ningependa kujua
Maana nmekuwa nje ya dar kidogo
Ningependa kujua hapo kwenye maonesho
Ya saba saba,banda la TBL lipo
Maana miaka ya nyuma sisi wanywaji dhumuni kubwa kwetu kwenda hapo ilikuwa banda Lao tbl,maana kulikuwepo na bar ukiagiza bia 1 unapewa moja offer...ukiagiza ya 2 offer kama kawa!
Basi tukitoka hapo ilikuwa full handaz😂
Mwenye kujua anipe mtonyo
Maana leo usiku naingia dar rasmi

Ova
Mshana Jr
 
IMG_20210707_185650_886.jpg


Kina mamavijacho wananielewa... Ni miamia tu 😊😊
 
f16c8758-d530-4f05-bfff-4ad7072ed093.jpg

b13c1dcb-b3f5-4e36-86af-95e3303d1864.jpg

IMG_6331.jpg

A
IMG_6330.jpg

AirPods Pro Bluetooth earbuds, hazichagui simu, touch sensor, Tunafanya delivery kwa Dar Es salaam tu, tupo hapa [emoji1485] Whatsapp KINGS STORE & SERVICES 0627468298
 

Attachments

  • IMG_6327.jpg
    IMG_6327.jpg
    79.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom