Maonesho ya Saba saba tuyafanyie humu jukwaani, weka bidhaa yako pamoja na bei watu tuione. Kwa kufanya hivyo utajiongezea wigo wa biashara kwa kupata wateja wengi zaidi.
Uzi wangu hauna maneno mengi!
Ila kwa mliyoko dar ningependa kujua
Maana nmekuwa nje ya dar kidogo
Ningependa kujua hapo kwenye maonesho
Ya saba saba,banda la TBL lipo
Maana miaka ya nyuma sisi wanywaji dhumuni kubwa kwetu kwenda hapo ilikuwa banda Lao tbl,maana kulikuwepo na bar ukiagiza bia 1 unapewa moja offer...ukiagiza ya 2 offer kama kawa!
Basi tukitoka hapo ilikuwa full handaz😂
Mwenye kujua anipe mtonyo
Maana leo usiku naingia dar rasmi
A
AirPods Pro Bluetooth earbuds, hazichagui simu, touch sensor, Tunafanya delivery kwa Dar Es salaam tu, tupo hapa [emoji1485] Whatsapp KINGS STORE & SERVICES 0627468298