Maonesho ya sayansi ya alama za vidole yafanyika Changzhou, Jiangsu

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Tarehe 18 Septemba, watu wanatembelea maonyesho ya sayansi ya alama za vidole katika Jumba la makumbusho la sanaa la Ziwa Taihu Magharibi, mjini Changzhou, Jiangsu.

Maonyesho hayo yameweka sampuli ya fuvu, nyaraka na vitabu, na kutumia aina mbalimbali za picha, vifaa, sanamu kuonyesha utamaduni wa alama za vidole na hali ya maendeleo ya sayansi ya alama za vidole.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…