Wakuu kwa aliye na muda na yupo DSM apite mnazi mmoja kuna maonesho, Taasisi nyingi za umma zinaonesha shughuli zao. Kwa wale wapenda kilimo na ufugaji ni mahali pazuri sana kupata habari za kilimo, mbegu bora na zana za kilimo. Ukipata nafasi pita it is very educative (kwa msisitizo) nimetokea pale muda huu