Maonesho ya utumishi wa Umma Mnazi mmoja

mwalwisi

Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
45
Reaction score
22
Wakuu kwa aliye na muda na yupo DSM apite mnazi mmoja kuna maonesho, Taasisi nyingi za umma zinaonesha shughuli zao. Kwa wale wapenda kilimo na ufugaji ni mahali pazuri sana kupata habari za kilimo, mbegu bora na zana za kilimo. Ukipata nafasi pita it is very educative (kwa msisitizo) nimetokea pale muda huu
 

Dar es Salaam? badala ya Mbeya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…