A
Ndugu, mkulima wa Tanzania hajawahi kufaidika na lolote, kwa lolote.1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa?
2. Je, wakulima wanahudhuria na kujifunza kupitia maonesho haya
3. Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wakulima wanashiriki maonesho haya?
4. Je, ni kwanini kwenye baadhi ya viwanja vya maonesho waoneshaji wanalipishwa gharama kubwa na wakulima bado wanadaiwa kiingilio?
5. Kwanini wahusika/waandaaji hawatangazi maonesho haya kama inavyostahili?
6. Je, fedha wanazochangishwa waoneshaji hazitoshi kuendeleza maeneo hayo?
Mfano: Nane Nane Morogoro kwa miaka mingi waoneshaji pamoja na wakulima wamekuwa wakitozwa viingilio lakini hakuna maendeleo yoyote yanayofanyika kwene viwanja hivyo.
Mahudhurio ni duni kulinganisha na miaka 10 iliyopita nini kinazorotesha
7. Mahudhurio haya ni ama kilimo kimekosa mvuto au wakulima hawa mudu gharama?
Je, kuna haja gani ya kuwachangisha wakulima na exhibitors kwenye baadhi ya maeneo na kwingine ni bure kwa wakulima kushiriki?
8. Je kuna haja ya ku centralize maonesho haya kuongeza ushiriki na tija kwa waoneshaji?
9. Mfano mzuri ni Dodoma serikali imewekeza mno mabanda ya maonesho, washiriki wanalipa lakini wakulima ni free, Morogoro na mikoa mingine wanatoza (wakulima) kiingilio na waoneshaji wanatozwa maeneo wanayoonesha bado miundo mbinu ni duni vumbi tupu ndani ya maeneo ya maonesho
Mkulima gani wewe unaogopa Vumbi?1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa?

You have said it very well,maonyesho haya yamekosa ubunifu na hayaendeshwi kiufanisi kabisa,Mfano ni ya Arusha,Serikali inawatoza waliokodisha nyumba na viwanja vya wazi pesa nyingi,mazingira duni sana yenye vumbi,zamani ilikua shughuli za kilimo na mifugo,sasa hivi yamejaza wamachinga wa Samunge na Croconi,na wakata kachumbari wa vifaa vya kichina,watu wanaingia kununua makarai na nguo za mtumba,wakati ilibidi mtu ununue mifugo na products zake na mbegu etc,Focus kubwa iko Dodoma wakati Serikali ingeyaboresha kwenye kanda zote iwe sehemu ya kujifunza,kunetwork,marketing and business.Ya Arusha hayana tija kabisa na mazingira ni mabaya mno.1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa?
2. Je, wakulima wanahudhuria na kujifunza kupitia maonesho haya
3. Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wakulima wanashiriki maonesho haya?
4. Je, ni kwanini kwenye baadhi ya viwanja vya maonesho waoneshaji wanalipishwa gharama kubwa na wakulima bado wanadaiwa kiingilio?
5. Kwanini wahusika/waandaaji hawatangazi maonesho haya kama inavyostahili?
6. Je, fedha wanazochangishwa waoneshaji hazitoshi kuendeleza maeneo hayo?
Mfano: Nane Nane Morogoro kwa miaka mingi waoneshaji pamoja na wakulima wamekuwa wakitozwa viingilio lakini hakuna maendeleo yoyote yanayofanyika kwene viwanja hivyo.
Mahudhurio ni duni kulinganisha na miaka 10 iliyopita nini kinazorotesha
7. Mahudhurio haya ni ama kilimo kimekosa mvuto au wakulima hawa mudu gharama?
Je, kuna haja gani ya kuwachangisha wakulima na exhibitors kwenye baadhi ya maeneo na kwingine ni bure kwa wakulima kushiriki?
8. Je kuna haja ya ku centralize maonesho haya kuongeza ushiriki na tija kwa waoneshaji?
9. Mfano mzuri ni Dodoma serikali imewekeza mno mabanda ya maonesho, washiriki wanalipa lakini wakulima ni free, Morogoro na mikoa mingine wanatoza (wakulima) kiingilio na waoneshaji wanatozwa maeneo wanayoonesha bado miundo mbinu ni duni vumbi tupu ndani ya maeneo ya maonesho
Naona vitambi tuu,vinaingia humo!1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa?