ulichanganya vitu viwili hapo na babako ana haki ya kukasirika. Ni kama ulimfanya kuwa mjinga na asiyejua thamani ya nyumba. Kama pesa mahari ilitosha kujenga basi ni juu ya wazazi wako kuamua wakupe zawadi gani utakapoolewa. Kumbuka mahari ni ya wazazi si ya wanandoa. Na kimsingi haipaswi kuwa kubwa sana kwani ni kitu cha kuonyesha heshima na labda kukamlisha mila tu ili kusignify hiyari ya wazazi wa msichana kuruhusu na kubariki binti yao kuolewa. Chimbuko la mahari na practice zake zaweza kuwa questionable lakini role ya mahali itaendelea kubaki kwa miaka mingi sana. Mahakamani mahari yaweza kutumika kama ushahidi kuwa ndoa yenu inatambulika kimla. Sasa nakushauri kawaombe msamaha wazazi wako na utakapopata mchumba fungeni ndoa na mambo ya nyumba na mengineyo mjipangie wenyewe
Ntaomba radhi leo usiku nikifika home, hope watanielewa.
tatizo lako umezidisha u machi noo.
Bila shaka nyie ndio mnaoshinda kwenye mabotiki na masaluni makubwa wakati wazazi wenu wanavaa mguu mmoja rana na wa pili skuna kwa kukosa viatu.
Hebu weka heshima mbele na uhalisia pia.
Mimi binti yangu hata Uji aliokunywa kufikia alipo muoaji atacontributeMahari ni kama zawadi tu wanayopewa wazazi walea chema,nafikiri baba ana haki ya kukasirika,mahari apewe baba na mama.
Hayo ya nyumba yawe kati yako na mwenzi wako Nazjaz, na si lazima wakati wa uchumba hata mkishafunga ndoa.
Waombe msamaha,wanakupenda watakuelewa!
ehhh mi sielew apa....
unataka akose pombe yake ya mnazi?Walinikalisha kuniuliza kama nimeshapata mchumba au rafiki nisisite kumpeleka nyumbani. Nikawaambia sawa nikimpata ntamleta.
Nikawailiza mahari inakuwaje kulingana na mila zetu?
Wakanitajia, nikapiga hesabu nikaona mahari inafika kama milioni moja na laki 2.
Nikawaambia wazazi wangu kuwa, kwakuwa nina shamba kisarawe, nikipata mchumba wamwambie alete matofali ya kuanzia kwa ajili ya nyumba ambayo itakuwa yangu na mume wangu.
Baba yangu alipinga na kuongea maneno yote mabaya.
Je nilikosea nini?
Au aliona namzibia hela za bakuli la komoni?
Mimi binti yangu hata Uji aliokunywa kufikia alipo muoaji atacontribute
Walinikalisha kuniuliza kama nimeshapata mchumba au rafiki nisisite kumpeleka nyumbani. Nikawaambia sawa nikimpata ntamleta.