college girl (siku hizi JF imevamiwa) lol, mpk watoto waliovunja ungo nao wapo humuWalinikalisha kuniuliza kama nimeshapata mchumba au rafiki nisisite kumpeleka nyumbani. Nikawaambia sawa nikimpata ntamleta.
Nikawailiza mahari inakuwaje kulingana na mila zetu?
Wakanitajia, nikapiga hesabu nikaona mahari inafika kama milioni moja na laki 2.
Nikawaambia wazazi wangu kuwa, kwakuwa nina shamba kisarawe, nikipata mchumba wamwambie alete matofali ya kuanzia kwa ajili ya nyumba ambayo itakuwa yangu na mume wangu.
Baba yangu alipinga na kuongea maneno yote mabaya.
Je nilikosea nini?
Au aliona namzibia hela za bakuli la komoni?
college girl (siku hizi JF imevamiwa) lol, mpk watoto waliovunja ungo nao wapo humu
Bibie stori yako naona haijitoshelezi. Mzee wako amekasirika kwa sababu ipi hasa? Wazo la umiliki wa nyumba kwa pamoja na mmeo mtarajiwa au mahari ya 1.2m?Walinikalisha kuniuliza kama nimeshapata mchumba au rafiki nisisite kumpeleka nyumbani. Nikawaambia sawa nikimpata ntamleta.
Nikawailiza mahari inakuwaje kulingana na mila zetu?
Wakanitajia, nikapiga hesabu nikaona mahari inafika kama milioni moja na laki 2.
Nikawaambia wazazi wangu kuwa, kwakuwa nina shamba kisarawe, nikipata mchumba wamwambie alete matofali ya kuanzia kwa ajili ya nyumba ambayo itakuwa yangu na mume wangu.
Baba yangu alipinga na kuongea maneno yote mabaya.
Je nilikosea nini?
Au aliona namzibia hela za bakuli la komoni?
Bibie stori yako naona haijitoshelezi. Mzee wako amekasirika kwa sababu ipi hasa? Wazo la umiliki wa nyumba kwa pamoja na mmeo mtarajiwa au mahari ya 1.2m?
Mimi binti yangu hata Uji aliokunywa kufikia alipo muoaji atacontribute
Nani kakwambia? pamoja na uzungu wenu tradition and family ni vizuri kufatwasiku hizi watu hawaoi kwa mahari wewe, utabaki mwenyewe shauri yako
Hata mimi huwa sielewielewiNazjaz sasa
we umekuwa kichekesho
changu humu ndani samahani dear
lakini nikisoma poster zako nyingi ni
unajiuliza na kujipa jibu hapo hapo dahhh
siku nikiona swali ntakupa jibu...
Hata mimi huwa sielewielewi
college girl (siku hizi JF imevamiwa) lol, mpk watoto waliovunja ungo nao wapo humu