Maongezi na wazazi wangu jana usiku.

Mahari ni muhimu kaka angu hata kama ni kidogo tu kama mbuzi wawili just to show the tradition inaleta raha fulani hivi, ila ya huyu dada imezidi milioni moja na nusu ya nini kama ananunua bajaj?
 
Ulichokosea ni kupanga matumizi ya mahali. Hiyo kwa mila na desturi zetu ni za wanaukoo, ambao ni lazima washirikishwe. Pia inategemea uliongea kwa tone gani kwa baba, akahisi unataka umpande kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…