Maoni: AzamTVMax Web App

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT,

Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app.

Najua management ya AzamTV wanajua changamoto ya huduma ya internet hapa kwetu na pia najua kua wanajua umuhimu wa huduma yao kwa watanzania.

Sasa kuna hili suala la quality ya muonekano wa matangazo yao naona wanakosea sana ku-limit iwe HD. Hii inapelekea kupata usumbufu au kukosa huduma pale ambapo internet inakua hafifu.

Ningeomba wahusika kama mtaona huu uzi basi mfanye iwe kama streaming site nyingine mfano youtube kwamba quality ya picha iwe inajiselect automatically kulingana na ubora wa internet kwa wakati huo.

Hii itasaidia kuondoa usumbufu uliopo sasa ambapo kama internet ikiwa poor basi hupati huduma kabisa.
Ni matumanini yangu mtafanyia kazi kero hii.

Nawasilisha.
 

Umenena vyema.
 
Ingekua upande mwingine ninge RT hii, kudos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…