Maoni binafsi: Tanzania ipitishe azimio la kukataa shule za jinsia moja kwa maslahi ya taifa la kesho

sasa hapa ww hujaangalia chanzo umeangalia mazingira

Ni ngumu kutoa mazingira yote kwa kigezo tu yanasababisha watu kunyanduana.
Kumbuka hayo hayo mazingira wengi wamepita na hawajafika huko.

Tatizo n ubinadamu binadamu wapo wa kila rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…