Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.

Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.

Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
752b726a07669bcce93d17f2c5053d47.jpg
 
Hii nchi uhuru umezidi sana na ujinga umeendekezwa sana maana Kila kilaza anatapika tu baada ya kushiba kiporo.
[emoji16][emoji16] Sasa mkuu, mtoa mada amekosea wapi hapo? Mbona amenyoosha maelezo tu.
 
Na Kama timu Moja ikashinda vikombe vyote Nini kinafanyika? Na unajua maana ya champion? Kajifunze kwanza Kisha urudi kupost ugolo wako
 
Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.View attachment 2610363
Inabidi ukapimwe nnya kuna namna imelegea
 
Si tuliambizana ninyi mshakufa kiume vp sasa mmefufuka? Hla mawazo mazuri kwasababu ninyi msimu huu amlambi hata kombe la nani mtani jembe lamdah mfe kiume na nafasi ya pili
 
Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.

Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.

Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
View attachment 2610363
Sasa Yanga ilishinda vyote hivyo...
 
Aiseeeh nimefadhaika sana huu ni mtazamo wa mtu anaefikiria sawasawa mambo kweli?
Yani ni kigezo gani kimekufanya uje na mtazamo huu..Yanga imefanya vizuri msimu huu kwenye shirikisho sasa utachukuaje mtazamo wa jumla utafikiri ni kawaida kwa Yanga kufanya vizuri shirikisho baada ya kuchukua ubingwa wa ligi.
Tufiche mawazo yetu hasi ili tusionekane mambumbu.
 
Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.

Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.

Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
Ni jukumu la Yanga yenyewe kujilengesha kombe la Shirikisho, na ni simple tu. Washiriki Klabu Bingwa kama kawaida, wavuke raundi ya awali, halafu raundi ya kwanza wajilegeze ili watolewe kisha wadondokee shirikisho wakajipigie akina Real Bamako
 
Ajabu ulicheza huko kwa kina Bamako nako ukaambulia robo
 
Back
Top Bottom