[emoji16][emoji16] Sasa mkuu, mtoa mada amekosea wapi hapo? Mbona amenyoosha maelezo tu.Hii nchi uhuru umezidi sana na ujinga umeendekezwa sana maana Kila kilaza anatapika tu baada ya kushiba kiporo.
KKK kajifunze hivyo vitu kwanza, JF ipo tu utaikutaNadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP ...
hahahaa hadi nimecheka kwa sautiHii nchi uhuru umezidi sana na ujinga umeendekezwa sana maana Kila kilaza anatapika tu baada ya kushiba kiporo.
Inabidi ukapimwe nnya kuna namna imelegeaNadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.View attachment 2610363
Mabingwa wa robo fainali.tuendelee kufa kiume
Makolo huku mwishoni mnarukaruka sana ni kama kisaikolojia hamko sawaNadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP...
Sasa Yanga ilishinda vyote hivyo...Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.
Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.
Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
View attachment 2610363
Ni jukumu la Yanga yenyewe kujilengesha kombe la Shirikisho, na ni simple tu. Washiriki Klabu Bingwa kama kawaida, wavuke raundi ya awali, halafu raundi ya kwanza wajilegeze ili watolewe kisha wadondokee shirikisho wakajipigie akina Real BamakoNadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la SHIRIKISHO.
Hii ni Kutokana na TIMU inayoshinda Ligi Kuu kutokufanya Vizuri kwenye CHAMPIONS CUP bali kwenye KOMBE la SHIRIKISHO.
Mfano m uri ni KLABU ya YANGA mwaka jana na Mwaka huu wameshinda LIGI KUU lakini Wamefanya VIBAYA Champions Cup ila Wamefanya Vizuri Kombe la Shirikisho na kudhihirisha pasipo shaka kuwa UWEZO wao ni Kushiriki KOMBE la SHIRIKISHO na SIO Kombe la CHAMPIONS CUP.
Ajabu ulicheza huko kwa kina Bamako nako ukaambulia roboNi jukumu la Yanga yenyewe kujilengesha kombe la Shirikisho, na ni simple tu. Washiriki Klabu Bingwa kama kawaida, wavuke raundi ya awali, halafu raundi ya kwanza wajilegeze ili watolewe kisha wadondokee shirikisho wakajipigie akina Real Bamako