Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

Hata hivyo mmekufa kiume
 

Kupitia hizi akili zako, basi Yanga ndiyo timu inayostahili kushiriki mashindano yote.

Maana ndiye aliyekuwa Bingwa wa mashindano yote! Na usisahau msimu huu pia anaekekea kuchukua makombe yote.
 
Na Kama timu Moja ikashinda vikombe vyote Nini kinafanyika? Na unajua maana ya champion? Kajifunze kwanza Kisha urudi kupost ugolo wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga wazee wa shirikisho
 
Unatoa tu mawazo bila sababu kama mtu anaye weweseka?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga imefanya Vizuri SHIRIKISHO sio CHAMPIONS CUP kile ni Kikombe cha Wajua mpira
 
Ni jukumu la Yanga yenyewe kujilengesha kombe la Shirikisho, na ni simple tu. Washiriki Klabu Bingwa kama kawaida, wavuke raundi ya awali, halafu raundi ya kwanza wajilegeze ili watolewe kisha wadondokee shirikisho wakajipigie akina Real Bamako
Hapana Jina la YANGA litapelekwa moja kwa moja kucheza SHIRIKISHO ndio SIZE yao
 
Acha ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…