Maoni: Halima Mdee na wenzake wajiuzulu ubunge kuungana na CHADEMA kumpigania Mbowe

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Wadau nawasalimu,

Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake.

Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa kukiua chama chao walichokijenga kwa jasho na damu.

Leo kiongozi wao Mh. Mbowe kakamatwa na kabambikiziwa kesi ya ugaidi na hao hao waliowapeleka bungeni

Nawashauri kama kweli mna dhamira ya dhati ndani ya mioyo yenu juu ya Chadema basi ni wakati huu sasa wa kuungana na wanachama wenzenu kumpigania kiongozi wenu mkuu Mh. Mbowe ktk kesi inayomkabili.

Mnachotakuwa kukifanya ni kujiuzulu ubunge wenu naamini wanachama wa Chadema watawapokea kwa vifijo na nderemo na kuwasamehe ili muungane kumpigania kiongozi wenu kwa pamoja na Watanzania pia watawaita mashujaa wa siasa kandamizi za CCM.
 
Mnachotakuwa kukifanya ni KUJIUZULU UBUNGE wenu Naamini Wanachama wa CHADEMA watawapokea kwa VIFIJO na NDEREMO na KUWASAMEHE ili Muungane kumpigania KIONGOZI wenu kwa Pamoja na Watanzania Pia WATAWAITA MASHUJAA wa SIASA Kandamizi za CCM.
Wazo zuri. Sana
 
Labda wangekuwa Wapemba.

Wachagga na hela huwezi kuwatenganisha bwashee!
 
Nakumbukaga akina halima na bulaya walivyovamiaga segerea kumuokoa Mbowe mpaka wakapigwa na kuvunjwa lakini baadae wakaitwa wasaliti!! Ilinishangaza sana. Wale wamama ndo walikua chadema haswa hawa wengine waliobaki ni toleo sijui la tatu au nne! Moto wa halima na bulaya sio mchezo pangechimbika.
 
Hiyo mipesa watakayoiacha huko mtawapa nyie?
 
Esther Matiko, Esther Bulaya, Halima Mdee, yaani hawa madada zamani walikuwa wakiongea watu tunawasikiliza ila sasa [emoji23][emoji23][emoji23] sio wapo hai wau vp?!
 
Leo kiongozi wao Mh. Mbowe kakamatwa na kabambikiziwa kesi ya ugaidi na hao hao waliowapeleka bungeni

Nawashauri kama kweli mna dhamira ya dhati ndani ya mioyo yenu juu ya Chadema basi ni wakati huu sasa wa kuungana na wanachama wenzenu kumpigania kiongozi wenu mkuu Mh. Mbowe ktk kesi inayomkabili.
Shida inaanzia hapo nilipo bold. Unahisi bado wana hiyo dhamira ya kweli juu ya Chadema?
 
Wadau nawasalimu,

Nichukuwa nafasi hii kuwashauri japo sio lazima kuufuata ushauri wangu Wabunge 19 waliofukuzwa Chadema yaani Halima Mdee na wenzake.

Naamini wao binafsi wanaujua ukweli uliowafikisha bungeni ulivyoratibiwa na Magufuli, Tume ya Uchaguzi na bunge na sio chama chao lengo likiwa kukiua chama chao walichokijenga kwa jasho na damu.

Leo kiongozi wao Mh. Mbowe kakamatwa na kabambikiziwa kesi ya ugaidi na hao hao waliowapeleka bungeni

Nawashauri kama kweli mna dhamira ya dhati ndani ya mioyo yenu juu ya Chadema basi ni wakati huu sasa wa kuungana na wanachama wenzenu kumpigania kiongozi wenu mkuu Mh. Mbowe ktk kesi inayomkabili.

Mnachotakuwa kukifanya ni kujiuzulu ubunge wenu naamini wanachama wa Chadema watawapokea kwa vifijo na nderemo na kuwasamehe ili muungane kumpigania kiongozi wenu kwa pamoja na Watanzania pia watawaita mashujaa wa siasa kandamizi za CCM.
Kichwa Cha habari hakiendani na ulichoandika!!
 
Umeandika Kama vile tukio limeshatokea, kumbe unashauri!!
 
Bro Tanzania ubunge ni ulaji sio kutetea maslahi ya wanyonge, ndio maana ni rahisi mbunge kuitetea serikali kuliko wapiga kura wao
 
Ni ujinga kujiuzulu kisa makosa ya wengine kwanza CDM wamewazalilisha sana hao wanawake kwa kuwaita covid-19 kisa ubunge wao ambao upo kisheria, mbowe apambane na Hali yake, yeye ka mwenyekiti ameishiwa mbinu na hataki kufanya tafiti na kuja na siasa mbadala za kukijenga chama daily wao police na jela wanasahau chama na kuandaa viongozi wa uchaguzi ujao, hapo atafungwa had uchaguzi ukikaribia ndo aachiwe huku chama kinaenda kufa no wagombea no succession plan, loh inasikitisha sana maana upinzani legelege ni hasara kwa taifa letu kwa kweli.
So mbowe akiachiwe anahitaji kufikiria jinsi ya kujenga chama upya na sio ugomvi na serikali woi.
N. B siwashauri kina halima kujiuzulu ubunge wallah waache wale mema ya nchi
 
Back
Top Bottom