Maoni: Halima Mdee na wenzake wajiuzulu ubunge kuungana na CHADEMA kumpigania Mbowe

Ushauri wako waweza kuwa mzuri na pia waweza kuwa si wabusara, ni kama kusema;
'kwasababu baba wa familia amekamatwa na kusingiziwa kesi, basi wana familia, mama na watoto waache kazi na masomo kuonyesha kumsapot baba' kama baba ana hekima akitoka lazima awapige makofu. Ni mtazamo wangu tu. Naamini zipo njia bora zaidi
 
Esther Matiko, Esther Bulaya, Halima Mdee, yaani hawa madada zamani walikuwa wakiongea watu tunawasikiliza ila sasa [emoji23][emoji23][emoji23] sio wapo hai wau vp?!
Hawa ndio cdm ya ukimwaga mboga tunamwaga ugali, acha hawa wako Space ya Maria Sarungi , ni toleo fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…