Maoni: Kama hupati Kazi fanya haya

Maoni: Kama hupati Kazi fanya haya

Joined
Oct 19, 2020
Posts
75
Reaction score
238
Nitakuwa specific and short, but clear:

Nimeona threads nyingi JF wadau wengi sana haswa waliomaliza chuo kikuu, wakitumia mda mwingi kuomba connection za kazi lakini hakuna mafanikio hata kwa zaidi ya miaka. Huku wengine kuhisi wana mikosi au hawana bahati na kutoboa.

Basi, leo nitatoa somo fupi from my own experience na jinsi unaweza kulitumia kujipatia ajira au kazi bila kusumbua watu na connection.

  1. Tafuta service au business model unayoipenda au una passion nayo sio lazima uliyosomea, let's say umechagua Facebook ads marketing, graphics design, data entry, language translation au video editing.
  2. Kama hauna experience nayo, jaribu kusacrifice ule mda unatumia instagram au na marafiki, kuisoma hyo service au biashara kwa japo wiki 3 au 4 kulingana na uwezo wako hadi utakapo kuwa confident with it. Materials zipo kila kona online, jaribu kuangalia proven YouTube videos, kununua course za watu waliobobea kwenye hiyo sekta, kusoma blogs n.k
  3. Jiamini, and get to the internet, Tafuta kampuni zilizo na upungufu wa service yako mfano, unaweza kuta kampuni kubwa lakini kutumia Facebook ads kwa matangazo hawajui, au wanatumia graphics design au video mbovu katika matangazo yao. Jaribu kuwatumia audit au report unayoweza kuwasaidia kuimprove kwenye hiyo sekta. Pia unaweza kuwapa free trial kuapprove uwezo wako, ila kama hautapenda any deal mtakayofikia... piga chini and move on to the next company.
  4. (Step 4, hii ni alternative lakini nitaelezea zaidi next time) Sign up for any good freelancing platform for free, register yourself, and list your service. Make sure you stand out from the crowd.
  5. Jaribu kuwa active na profession - Unaweza kwenda mbali zaidi ukatengeza business website yenye page moja tu iliyokuelezea zaidi na service yako na happy customers wako sio lazima uwe na wateja, just a social proof factor... (Hii ni factor kubwa sana, japo tunaichukulia easy). Kazi ya kwanza kuipata itakua ngumu lakini ukifanikiwa na kupata feedback nzuri. Things won't be the same for you.
  6. Perfect it more, ukifanikiwa kupata clients au kampuni. Jaribu kutengeneza mahusiano mazuri nao na uwape huduma iliyo bora. Unaweza pata mikataba mirefu na mizuri.

Note:
Unavyotafuta business model ya kujifunza, angalia what's in demand ( service inayohitajika zaidi au ngeni) katika hiyo jamii au kwenye hiyo freelancing platform utakayojiunga. nimeona watu wengi wakikimbilia data entry na translation jobs, which is okay but kwa competition yake itabidi ujue jinsi ya kustand out au utakosa kazi kabisa.

Kujifunza zaidi, Connect with me via Youtube Channel - Learn with Murrah

Disclaimer:
Kila kitu nimeelezea, is from my own experience pia It's one of the things I do for a living, so there's no any BS or whatsoever. So, either you take it au you leave it but it's worth it.

Next thread: Jinsi ya kupata pesa yako from a freelancing platform kama Upwork, Freelancer na Fiverr.

(comment au like thread, nijue kama mpo interested niendelee kupost about this topic more)
 
Mkuu mie nakuunga mkono mfano mie muda huu nakomaa sana na trading nashukuru mtaji nilianza na cola buku ila saivi unasoma dola buku 5 MTU ataona kama ni kupigwa ila hustle ngumu sana lazima uwa inspire watu ambao wanawaza kujitoa for their passion.
Please hakuna less ya bure pote kuna maumivu tena sana. Tunadili na liquid and volatile markets. Muuzaji na muuzaji wapo wengi hakuna kunyenyekea wala kubembeleza mteja ni ishu ya kubofya kasa.
Pitia history za waliojitoa akina Anord Shwaznnegger ,Mohammed alli,usain bolt,tiger wood,flyod myweather, Michael jordan, huyu jamaa aliyegundua electric bulb,jack ma,Hopray Winfred, Kobe Brant,Michael Goggin,Dudey ,Lewis Aliyekuwa analala ofsini kwake.
Kwenye passion yako unaifia hata gharama ya damu,jasho,machozi,stress ,uncomfortable, pains,fear, time,money,hardworking unAzi embrace.
Yaani narudia usije ukaingia huku kwenye trading kama una unajua kuwa Luna pesa ya bure. Nipo mwaka wz NNE ila bado najiona ni kama sijui kitu wajameni. Nikifikisha cola laki moja neo nitaanza kutuma hela benki kama alfu kumi dola nakaa karibia mwka mzima ndo plan yangu
 
What you become in life is dependent on the decisions you
make and how you react to decisions made on your behalf.
Remembering that you're going to die is the best way I
know to avoid the trap of thinking you have something to
lose. You are already naked. There is no reason not to
follow your heart."
Few can walk the walk when money is on the line. The main
contributor to not having the life you want is fear. Most
play this game, called life, safely within the boundaries
they set while growing up, boundaries built by avoiding
pain and anxiety.
They come up with excuses for why they made one choice
over another — the voice inside keeping them on the safe
side of the fence.
The average seeks average lives, but the world is not
built by average people — it is built by the unreasonable
who dare to elevate themselves, who reject the average
and go all-in for success
 
Our brains so hate the idea of losing something that is
valuable to us that we abandon all rational thought and
make some really poor decisions.
The success you desire is closer than you think on the
other side of this door, but if I hand you the key, will
you open the lock?
It's your choice. Nobody can do it for you. Unlocking the
door is only the beginning. You have to walk through it.
It requires attention, focus, dedication, and sacrifice.
It takes courage.
 
"Remembering that you're going to die is the best way I
know to avoid the trap of thinking you have something to
lose. You are already naked. There is no reason not to

follow your heart."
Huyu ni Steve jobs neo alitoa Hays maneno kuntu. Fuatilia na Elon Musk yeye aliona kuwa dola 30 zinatosha kumlisha mwezi mzima kwa chakula so hakuona ya kujilimbikizia hela akabaki kukomaa na passion take huku amekaa ndani anaumiza kichwa.
 
Nitakuwa specific and short, but clear:

Nimeona threads nyingi JF wadau wengi sana haswa waliomaliza chuo kikuu, wakitumia mda mwingi kuomba connection za kazi lakini hakuna mafanikio hata kwa zaidi ya miaka. Huku wengine kuhisi wana mikosi au hawana bahati na kutoboa.

Basi, leo nitatoa somo fupi from my own experience na jinsi unaweza kulitumia kujipatia ajira au kazi bila kusumbua watu na connection.

  1. Tafuta service au business model unayoipenda au una passion nayo sio lazima uliyosomea, let's say umechagua Facebook ads marketing, graphics design, data entry, language translation au video editing.
  2. Kama hauna experience nayo, jaribu kusacrifice ule mda unatumia instagram au na marafiki, kuisoma hyo service au biashara kwa japo wiki 3 au 4 kulingana na uwezo wako hadi utakapo kuwa confident with it. Materials zipo kila kona online, jaribu kuangalia proven YouTube videos, kununua course za watu waliobobea kwenye hiyo sekta, kusoma blogs n.k
  3. Jiamini, and get to the internet, Tafuta kampuni zilizo na upungufu wa service yako mfano, unaweza kuta kampuni kubwa lakini kutumia Facebook ads kwa matangazo hawajui, au wanatumia graphics design au video mbovu katika matangazo yao. Jaribu kuwatumia audit au report unayoweza kuwasaidia kuimprove kwenye hiyo sekta. Pia unaweza kuwapa free trial kuapprove uwezo wako, ila kama hautapenda any deal mtakayofikia... piga chini and move on to the next company.
  4. (Step 4, hii ni alternative lakini nitaelezea zaidi next time) Sign up for any good freelancing platform for free, register yourself, and list your service. Make sure you stand out from the crowd.
  5. Jaribu kuwa active na profession - Unaweza kwenda mbali zaidi ukatengeza business website yenye page moja tu iliyokuelezea zaidi na service yako na happy customers wako sio lazima uwe na wateja, just a social proof factor... (Hii ni factor kubwa sana, japo tunaichukulia easy). Kazi ya kwanza kuipata itakua ngumu lakini ukifanikiwa na kupata feedback nzuri. Things won't be the same for you.
  6. Perfect it more, ukifanikiwa kupata clients au kampuni. Jaribu kutengeneza mahusiano mazuri nao na uwape huduma iliyo bora. Unaweza pata mikataba mirefu na mizuri.

Note:
Unavyotafuta business model ya kujifunza, angalia what's in demand ( service inayohitajika zaidi au ngeni) katika hiyo jamii au kwenye hiyo freelancing platform utakayojiunga. nimeona watu wengi wakikimbilia data entry na translation jobs, which is okay but kwa competition yake itabidi ujue jinsi ya kustand out au utakosa kazi kabisa.

I have 100s of premium paid courses, kama ukinitafuta ukaonyesha userious. Nitakupa free of charge.

Disclaimer:
Kila kitu nimeelezea, is from my own experience pia It's one of the things I do for a living, so there's no any BS or whatsoever. So, either you take it au you leave it but it's worth it.

Next thread: Jinsi ya kupata pesa yako from a freelancing platform kama Upwork, Freelancer na Fiverr.

(comment au like thread, nijue kama mpo interested niendelee kupost about this topic more)
Niko interested sana.
Najua Graphics Designing na TV/Video Production.
Tenda kupata ngumu, natamani sana kuzijua hizo mambo ili niimarike.
Nimefanikiwa kutengeneza website jana, ya bure, kwa njia ya WordPress.

Ni kweli, na ni rahisi kuji-imarisha kwa njia ya kulipia kwa siku za usoni.

Nimeanza pindi la web development, nishasoma HTML, ndio nimefika kwenye CSS au Javascript. Naona kichwa kinaanza kuuma[emoji23]

Ninatamani kumaliza then nianze kujifunza Android Studio..ili nitengeneze app yangu na iwe live mwaka huu huu. Inshallah.
 
Vijana hapa hawawezi kukuelewa
Kabisa Yani, wanachuo wenzangu unakuta amejaza Movies, series, Games na Season kwenye PC/Smartphone Kuna mmoja wakati lecture venue inaendelea nikawa namuonyesha job ambazo nafanya Fiverr akashangaa Sana, nasetia client chartbot kwenye Telegram group akasema Mbona haiusian na sheria? nikawaza kama taifa vijana Bado tumelala
 
🤣🤣🤣 ukikosa na pozi kabisa
 
Back
Top Bottom