KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Kinachoshindikana kwa guides kugoma ni nini ?
Tuna tozo umiza kupitiliza... Kumbukeni kazi yetu sio Biashara ni hiduma kutangaza vivutio vyetu Tanzania , na tunaitwa Mabalozi ... na ndivyo tulivyo ila unaambiwa ulipe vitu wasivyolipishwa Mabalozi wetu wengine woote unao wajua ..:
1 guide unalipia Leseni ya udereva hii ni sawa kabisa .
2 Guide unalipia uanachama wa chama chako ni sawa kabisa .
3. Tatizo linaanzia hapa unalipa kiingilio geti kila geti la hifadhi yeyote unayoijua ili hali unaenda kutangaza Nchi hii sio sawa . (Ranger wanalipa ?)
4 unalipa malazi concession fee sio sawa .( Ranger wanalipa ?)
Unalipa kulala hotelini hii sio sawa ... Kwani wageni wangekuja kwa miguu bila Mimi balozi?
5.Tulipa guiding licence $50 je ? tunafanya bishara gani ? ( Makampuni yanatozwa license Tala maana wanafanya Bishara na mtumishi alietumwa kama Balozi anatozwa kama biashara (sio sawa Rangers walipa hiyo ?)
6. Tunalipiswa malazi watoa huduma je ? ni sawa ? Wahudumu hotelini wamepewa malazi bure tunapaswa kupewa bure sisi ni wamoja ktk tasinia tofauti ni vyumba via kazi tuu .
7. Kama ni makato ya mishahara hata sisi tulipa , tozo hizi sio sawa kwa Mabalozi...
8. Latra nao wamekuja na yao tulipe 20000 kwa miaka miwili ... Hao wanaotunga haya wao wanalipa shl ngapi ? na je ? baada ya Latra si wataanza kutoza pia ubalozi wetu ktk Lugha tofauti ? Ndiko tukoelekea...
WMA tunatozwa kwa sababu ipi ? sisi ni watunza mazingira No 1 kwanini tutozwe ...
9. Faini ya Latra shl 50000 kwa dreva kwa gari kutozwa dreva ina maana gani ? eti kwakua umeendesha gari halina Latra , na bado kampuni inapigwa shl 250000 .. Huu ni uonevu wa sheria kandamizi zinazotungwa na wale tuliowaajiri kupitia kura zetu ( sio )
10. Mabalozi tunanyanyasika sana kwa sheria zinazotumika ili hali watunzi hawajui kua tunalipwa shl ngapi tunakofanya kazi ... ( Makampuni yetu ),
Kama kweli sisi kwa umoja wetu
(guides Mabalozi) wanafanya Mbuga zetu zitambulike , ziheshimiwe , lakini ni Sekita 2 kuingiza mapato ya Kigeni , ila fika Kia anagalia palivyo anaposimama Balozi guide ili ampokee mgeni hapafai , mvua moja ikinyesha inakuhusu , jua linakuhusu , barabara mbovu porini zinakuhusu , speed 50Kph Tengeru Arusha 20 kms inakuhusu na barabara hiyo polisi wameifanya mradi wao ... Kwa magari yetu na raia pia .. Ila STK , SU , TX , Balozi zingine zote na magari yote mengine ya Serikali ambayo ni yetu pia sisi Wananchi yanapita na speed 100+ 120 hata 150 hayo ni rukisa je ? ni kwaajili ya No wanazotumia za Serikali hawapaswi kutii sheria wao ? au inakaaje ?
Hii Nchi inafanywa kuwa ngumu ktk sheria kutofuatwa na watu wote ...
Inakua sio sawa anaetunga sheria , anaesimamia , anaemuendesha ... Hao kuvunja sheria tuliyojiwekea tuwe sawa kisheria...
Ila natoa ushauri sio fahari kuendesha 50kph maana hiyo ni sawa na kuishi maisha 50% na mazalisho ya uchumi yanabaki 50% hii Nchi hatuwezi kutoka kiuchumi kwa kufanya kazi 50% maana kinachamua maisha ni mda , unapokua haujatumiwa tunapoteza .
Watu wapewe elimu ya vivuko barabarani ili tuokoe mda , tubakie kuheshimu vivuko vya kuvukia barabarani , ili litaiokoa Nchi mtu anazaliwa anakufa masikini kwa kubanwa na sheria ..
Ni machache kati ya mengi niliyonayo kuhusu maendeleo na ya Nchi yetu Tanzania.
Ni Mimi Mtanzania halisi ninae ipenda Nchi yangu ...
Nakupenda Tanzania.

Upvote
2