mabadilikosasa
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 379
- 85
Pamoja na kwamba mikutano ya katiba itakuwepo. lakini sio watu wote watapata mic kwa ajili ya kutoa maoni. Usashuri umetolewa kwamba kila familia (baba, mama, na watoto) ikae, ijadili, na kuandika maoni yao kwa maandishi na kuwasilisha kwa tume. Kwa sababu hili ni jambo muhimu sana, family discussion, and write ups zitasaidia zaidi