Maoni kwa udsm

Tafakuri ni nzuri lakini c kwamba wewe ndo wa kwanza kuwashauri wataitupa tu hiyodocument.. Huwa hawafuati ushauri mzuri hawa jamaa wao hufuata ushauri mbaya wa kikwete weledi ......matatizo mengi husababishwa na utawala wenyewe kama fedha ya project za finalist hutakiwa kutolewa mwanzo wa semister lakini wamekuja kutoa siku ya mwisho ya kufunga chuo , huwa hawajifunzi kutokana na makosa
 
Acha ngonjera za kishule hapa, toa summary!
 
Hawa si huwa wanagoma ili waongezwe posho? Nadhani dawa ni kufuta posho zote .. za wabunge, wanafunzi, madaktari, nk
 

Wengine hata hizo za project tumeambiwa tuvute subira hadi 2nd semester ....
 
Hawa si huwa wanagoma ili waongezwe posho? Nadhani dawa ni kufuta posho zote .. za wabunge, wanafunzi, madaktari, nk

afu wawe wanakula kwako au?
 
semester ijayo sio zamu yetu kugoma,ni zamu yao UDOM..kwahiyo hayo mapendekezo yatawafaa sana hao vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…