Timu ya Taifa Leo imepokea kipigo.
Hii timu tatizo kubwa ni benchi la ufundi.
Hao wenye dhamana ya kuajiri benchi la ufundi inawezekana nao hawana huo utaalamu wa kuajiri.
Huwa wanaweweseka Sana wakati wa kuajiri makocha kwani huwa wanasikiliza Sana kelele kutoka Kwa watu ambao wengi Wao kelele ndio maisha Yao, hatimae wanatuajiria makocha ambao eti kigezo ni " Mzalendo!"
Nyie TFF eleweni suala la kocha wa timu ni suala la Utaalamu na linafanywa Kitaalamu, sio eti Uzalendo.
Hivi hamjiulizi Kwa nini Simba na Yanga head coaches Wao ni wa nje?
Sio wanapenda kuajiri foreigners ila hakuna Mzalendo ambae adi sasa ana uwezo wa kupambana CV na foreigners.
Hii ndio sababu Simba na Yanga zimekuwa tishio Africa.