Inategemea unataka kusoma python ili ukatengeneze kitu gani. Python inatumika sehem nyingi sana (kuanzia web, android, desktop apps, simple games, scripts, scrappers, etc).Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa.
Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo...
lakini sytanx si zile zile?Inategemea unataka kusoma python ili ukatengeneze kitu gani. Python inatumika sehem nyingi sana (kuanzia web, android, desktop apps, simple games, scripts, scrappers, etc). Ukisoma python kma python tu bila ku specialize kwenye sehem flan naona kma utakua unasoma kujua tu python na sio jinsi ya kuapply python in real world problems
ushafeli, hakuna language rahisiprogramming language rahisi kuwahi kuwepo
Kwa tutorial za Python pitia hizi...Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa.
Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo.
Kwa wadau wanaoijua na KUITUMIA naomba maoni..Frametime nimejipa miezi 3 nitumie video tutorial au nikomae na w3school au vitabu?
hapo namuona java,php,c++,ruby na python
Ushafanyia nini c++ na Java?hahah.. mimi ni CS by proffesional na najua programming lugha kadhaa kutia ndani java na c++ ...
Ukuweli ni kwamba Python ni maji mbele ya java..
Ruby ndo simjui mzee ramanujan....Au ndo anatengeneza ios?[emoji123][emoji123]
Rudia kufanya project yako moja kwa python. Ukimaliza utakuwa na maoni yako binafsi.kwani kazi yake hujui..nimedevelop some project hasa kwa java
Kama unaijua laravel ya php, basi na ruby nae ana framework yake inaitwa Ruby on Rails. Aisee, nilipoiona kwa mara ya kwanza, nilihisi bwana Otwell alimkopi ili kuunda Laravel, japo kuna alisema alikuwa anai improve Codeignater!Ruby ndo simjui mzee ramanujan....Au ndo anatengeneza ios?