Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Sijui kwanini viongozi wetu wa nyakati hizi wanapenda maonyesho sana!Wapo kwenye kujitafutia uhalali zaidi.
Mzee Mwinyi hakuweza kakumbuka kama hata alikuwa Chatto.
Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko
Askofu Niwemugizi aliona mbali sana.
Sijui kwanini viongozi wetu wa nyakati hizi wanapenda maonyesho sana!
Wenzako wanakula pesa kupitia huyo mama. Umesahau hadi kwenye kampeni za Magufuli walimbeba. CCM ni ukoo wa fisi. Tena akifa ndio yatafurahi kweli ili yautembeze mwili Tanzania nzima yapige hela.
cc Majaliwa na Jenistee Muhagama.
Hawa ndiyo wanaojenga ofisi ya mtu mmoja ya 19bn/-
Ndiyo wenye kutuaminisha rais katoa hela zake mfukoni
Ndiyo wenye kupalilia mgawanyiko wa watu na kuwa leo tuna magaidi
Kwa hakika Nyerere angerudi bakora zingewahusu sana:
Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko
🤣🤣Ni kwa sababu hawana hoja wala agenda.
Hawana mvuto wala ushawishi.
Uongozi wao ni kwa mujibu wa hadaa, wizi na udhulumati hadi wa maisha ya watu.
Hawautumikii umma bali matumbo yao na familia zao.
Hawana nia ya kutoka madarakani bali kurithisha watoto na jamaa zao madaraka.
Mengine ni usanii tu.
Cc: Jumbe Brown, Ezekiel Mbaga BAK
🤣🤣
Kwa hiyo ili waonekane wana hoja na agenda ni kwenda kufanya maadhimisho katika kaburi la Mwalimu Nyerere?!!!
Kwani Leo ndio mara ya kwanza kuwa kumbukizi ya baba wa taifa?!!!
Nakukumbusha tu mh.Rais ameshatangaza mwakani mwenge wa Uhuru utazimiwa Kagera na si tena Chato komredi......
Sawa mkuu....Mkuu mbona kujishtukia?
Mada iliyopo hapa inamhusu mama Maria kupumzishwa.
Mikusanyiko ya watu kwenye zama hizi ni hatari kwa afya yake.
Unadhani fikira hizi hazina mashiko?
Kila kitu mnapinga aiseee. Asingealikwa mngelalamika wamemtenga siku ya kumbukizi ya mumewe
To be honest, huyo mama aachwe apumzike.
🤣🤣Hawashindwi kusema hayo....To be honest,msije lalamika ametengwa na serikali
...na hayupo wa kumlazimisha....mbona Leo hatukumuona mama Mkapa na wengine wengi tu?!!!yeye anapenda kwani akisema sitaki watamlazimisha?
Pharmacist wetu eee...hakuna wa kumlazimisha mama Maria Nyerere....Huyu Bibi hadi Jiwe alimtumia kwenye kampeni zake za uraisi mwaka jana..
What a disgress..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako wanakula pesa kupitia huyo mama. Umesahau hadi kwenye kampeni za Magufuli walimbeba. CCM ni ukoo wa fisi. Tena akifa ndio yatafurahi kweli ili yautembeze mwili Tanzania nzima yapige hela.
cc Majaliwa na Jenistee Muhagama.