Maoni, mapendekezo na matakwa ya Watanzani yamezingatiwa kikamilifu kwenye Mkataba wa Bandari

Maoni, mapendekezo na matakwa ya Watanzani yamezingatiwa kikamilifu kwenye Mkataba wa Bandari

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Serikali sikivu iliyopo Madarakani, kwa umakini mkubwa imesikiliza sauti, imezingatia maoni na imetekeleza matakwa na mapendekezo ya Wananchi wa Tanzania walio wengi kuhusu Bandari kikamilifu sana na kwa weledi wa hali ya juu mno.

Sote ni mashahidi, kwenye suala la bandari mambo yamefanyika hadharini kwa uwazi, uwajibikaji, na weledi mkubwa sana.

Na hili linaashiria na kudhihirisha kwamba, mara baada ya Uchaguzi Mkuu 2025, mchakato wa katiba mpya utafufuliwa rasmi.

Na kwa weledi, uwazi na uwajibikaji uleule wa serikali sikivu iliyopo Madarakani, suala la Katiba Mpya litatekelezwa bila tashwishwi yeyote kwa kuzingatia Sauti, Maoni, Mapendekezo na Matakwa ya Watnzania wote.

Mungu Ibariki Tanzania.

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
 
Back
Top Bottom