SinaMdaa
Member
- Jul 11, 2023
- 32
- 67
Wadau habarini za uchana huu wanajamii.
Natumaini mu wazima wa afya.
Niende kwenye mada moja kwa moja,nipo hapa kuuliza na kuomba Ushauri nawezaje kufocus na kuzingatia (concentrate) kwenye jambo nalofanya kwa wakati husika.
Nimekuwa na changamoto ya kushindwa kufocus na kunconcentrate kwenye kusikiliza kwenye vikao, maubiri kanisani na mambo mengine yanayohisiana na kusikiliza kama taarifa ya habari.
Pia napata changamoto kwenye concentrate kwenye kusoma mambo ya kawaida tu kama vitabu ama story kwenye gazeti.
NB: Sina health complication yeyote