Nina mchumba ambaye tunamuda mrefu kidogo kwa sasa, mwanzo tulipokutana tukawa tunawasiliana kama marafiki wa kawaida lakini cku moja akanitamkia kuwa ananipenda na anataka tuwe wachumba ambao hatima
yetu kujakuwa mume na mke, nami kwakuwa
sikua na mtu mwingine nikamkubalia lakini
nikamwambiwa anichunguze kwa muda nami
ntafanya hivyo kwa upande wake.
Nikawa mkweli kwake nakumpa background yangu naye akakubali kilichoniboa kwake wakati tunaendelea kuchunguzana akanipigia sim nakusema nanukuu "mpenzi wangu nakupenda sana ili nisikusaliti naomba unipe penzi lako, amini kuwa mimi ndiye mumeo mtarajiwa" naomba ushari na maoni yenu wana JF.