Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari zenu, kama title inavyojieleza, pindi unajiunga na JamiiForums kwa mara ya kwanza nadhani kila mtu kuna vitu/ maneno yalimpa wakati mgumu sana. Hakika mimi mwenyewe kuna mambo/ maneno yalinipa shida Sana ndio nikaja kuyaelewa maana yake.

Mfano wa maneno hayo ni kama,
1. Msambwanda
2. Papuchi
3. Avatar
Wewe je?, ongezea tupanuane bongo.
 
Inamaana nyote mlikuwa wenyeji humu?
 
mambo mengi sana yalinipa ugumu ikiwemo na hii mada yako,siielewielewi !!!!!
 
Kuandika kwa rangi, ku-PM, ku- bold, kuzoea lugha za .com
 
Emoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.

Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.
Sawa
 
Emoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.

Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.
Ndio maana upo vzr kwenye upande wa kutupia picha. Mm ku replay, Quote sikujua kabisa pia na maana ya Id. Nimejiunga Dec 1 ila nimejua kuquote, kureplay na kuanzisha thread Feb3
 
Hahaaa pole sana. Hivyo nilijua siku hio hio.
Ndio maana upo vzr kwenye upande wa kutupia picha. Mm ku replay, Quote sikujua kabisa pia na maana ya Id. Nimejiunga Dec 1 ila nimejua kuquote, kureplay na kuanzisha thread Feb3
 
Acha utan,angalia hapo kwenye notifiacation kisha bonyeza hio profile poc ya kijan ifuate hivyo kwa kuibonyeza mwishon utaona maelekezo ya kuweka picha
Mi mpaka saivi sijaona sehemu ya kuweka profile pic
 
me vyote nilivijua mapema hasa papuchi nilivyoon ilo neno nikajua hii ni kitu tamu

ila kitu kigumu mpk sasa ni kuyaona mapaja ya miss natafuta m nahamu kweli ya kuyapigia nyeto
 
Back
Top Bottom