Baada ya kutukanwa ukafanyaje?Mm nilitukanwa
Ndio maana upo vzr kwenye upande wa kutupia picha. Mm ku replay, Quote sikujua kabisa pia na maana ya Id. Nimejiunga Dec 1 ila nimejua kuquote, kureplay na kuanzisha thread Feb3Emoj,kuweka picha vilinipa wakati mgumu.
Siku nilipojua kuweka picha humu ikawa kosa kila kona natamani kutupia picha tuu bila sababu za msingi.
Ndio maana upo vzr kwenye upande wa kutupia picha. Mm ku replay, Quote sikujua kabisa pia na maana ya Id. Nimejiunga Dec 1 ila nimejua kuquote, kureplay na kuanzisha thread Feb3
Mi mpaka saivi sijaona sehemu ya kuweka profile pic