Hakika. Katiba itamke kuwa draft ya Mkataba itajadiliwa na wadau ikiwemo Bunge na kutoa mapendekezo yake kabl ya kutiwa saini wa washirika wa mkataba husika. Pia ianishwe kuwa atakayebainika kupitisha mkataba usio na maslahi kwa Nchi ya Tanzania anyongwe kwani sheria ya kifo bado imeendelea kulindwa katika katiba mpya. Lazima tuwe na sheria kali kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma. Pia, ikibainika kiongozi wa kuchaguliwa/kuteuliwa alisaidia kwa namna yoyote ile ibadhirifu wa mali ya Taifa, ahukumiwe jera miaka 30 na faini juu ikiwa ni pamoja na kurejesha alichokwapua/kuiba au hasara ailiyosababisha.